Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akisisitiza jambo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete na vazi la Kimasai.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete na Wakinamama wa Kimasai baada ya kumvalisha vazi.
Morani wa Kimasai wakifurahia jambo wakati wa Warsha.
Wake wa Viongozi wa Kiserikali na wengine pia walihudhulia.
Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam,kutoka kushoto,Sophia Mjema(Temeke) Raymond Mushi (Ilala) na Jordan Rugimbana Kinondoni sehemu ya wageni waliokuwepo.
Kinamama wa Kimasai pamoja na mtoto wakiwa katika Warsha hiyo.
Washiriki wa Warsha wakifuatilia jambo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jamii ya Wafugaji na Viongozi wa serikali waliofika katika Warsha.
No comments:
Post a Comment