Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mifuko ya Hifadhi ya
Jamii (ISSA) chini ya Umoja wa Mataifa, Hans- Horst Konkolewsky (kushoto)
akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dk. Ramadhani Dau kwa kuchaguliwa
tena kuendelea na uongozi katika Shirikisho hilo. Dk, Dau alichaguliwa
tena kuwa mwakilishi wa Afrika chini ya Jangwa la Sahara kwa kipindi cha miaka
mingine mitatu (2013-2016) huko Doha, Qatar katika mkutano mkuu wa ISSA.
No comments:
Post a Comment