Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mwanafunzi Peter
Robert Kilave wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari ya Kata Tushikamane ya
mjini Morogoro baada kuibuka mshindi wa kwanza katika shindano la Insha kuhusu
Ujenzi wa Miundombinu Afrika Mashariki.Mwanafunzi Peter amechukua ushindi wa
kwanza kwa wanafunzi wote wa shule za sekondari wan chi tano za jumuiya ya
Afrika Mashariki.Peter alipokea tuzo hiyo wakati wa Mkutano wa wa kuu wan chi za
jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika katika hoteli ya Speke’s Bay
Resort,Munyonyo, Kampala Uganda juzi.Kutokana na ushindi huo Mwanafunzi huyo
amepewa tuzo ya dola za Marekani 1500, na cheti na alikabidhiwa zawadi hizo na
mwenyekiti mpya wa jumuiya ya Afrika Mashariki, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya.(Picha
na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment