Lowassa anusurika ajali ya ndege Arusha,,
Ndege ya Precision Air yapasuka matairi yote manne huko Arusha,,yenye usajili No 5HPWI imepata kizaazaa wakati wa kutua baada ya tairi mojawapo kupasuka kwa kishindo, likufuatiwa na mengine yote ya nyuma ambapo yalipasuka pia na kuacha vipandevipande kwenye njia ya kurukia.Hii ni sehemu ya matairi mawili ya nyuma ya upande mmoja tu.

No comments:
Post a Comment