Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA,
Mama Salma Kikwete akipokewa rasmi na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
Mheshimiwa Dkt. Seif Rashid, kwenye hoteli ya Serena alikoenda kufungua
mkutano wa majadiliano ya wadau kuhusu kutokomeza maambukizi ya virusi
vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa mtoto.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatana na Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii, Dkt. Seif Rashid (kulia) na Mheshimiwa Mama Zakhia Meghji,
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya WAMA, (kushoto), wakielekea kwenye chumba
cha mkutano.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau
kuhusu kutokomeza maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda
kwa mtoto wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo
pichani). Mkutano huo ulifanyika Dar es
Salaam.

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akifungua rasmi
mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu kutokomeza
maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa mtoto.

Dr. Khadija Mwamtemi kutoka hospitali ya Taifa Muhimbili, alikuwa
ni mmojawapo kati ya washiriki waliochangia mawazo yao mara baada ya
mada mbalimbali kutolewa.(PICHA NA JOHN LUKUWI).
No comments:
Post a Comment