Mheshimiwa Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alipowasili
wizarani leo asubuhi na kulakiwa kwa shangwe na wafanyakazi wa wizara hiyo.
Mheshimiwa Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi akipokea kadi ya pongezi kutoka kwa Kamishna
wa Elimu, Profesa Eustella Bhalalusesa na katikati anayeshuhudia ni
Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Sifuni Mchome.
Mheshimiwa Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akikaribishwa Ofisini kwake na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Sifuni Mchome.
No comments:
Post a Comment