| Mjumbe wa maendeleo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis kulia akiwa na Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma
Mkamia. |
| Mjumbe wa maendeleo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis kulia akiwa na Fransic Cheka. |
| Mjumbe wa maendeleo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis kulia ajkiwa na Zuwena Kipingu ambaye ni Mjumbe wa shirikisho la ngumi za ridhaaa nchini BFT. |
| Rais wa PST Emanuel Mlundwa kushoto akimpatia tuzo ya Bondia bora wa mwaka Bilali Ngonyani kwa niaba ya Ibrahimu Class King Class Mawe. |
| Aga Peter akimpatia tuzo Franscis Cheka |
| Mdau wa masumbwi Aga Peter akimkabidhi tuzo Fadhili Majia kulia ni Mjumbe wa maendeleo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis. |
| Promota
wa masumbwi Mohamed Bawazir akimpatia tuzo ya uandishi bora wa mchezo
wa masumbwi Mwali Ibrahimu katikati ni Mjumbe wa maendeleo ya wanawake
katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis. |
| Rashidi Matumla akimpatia tuzo Fadhili Majia. |
| Kocha wa timu ya Taifa Jonas Mwakipesile akimkabidhi tuzo Selemani Kidunda. |
| Mjumbe wa maendeleo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis kushoto akimkabidhi tuzo kocha wa timu ya Taifa Jonas Mwakipesile. |
| Wajumbe wa kamati ya maandalizi ya PSPF TANZANIA BOXING AWARDS wakiwa katika picha ya pamoja na naibu waziri wakati wa utoaji wa tuzo hizo. |
No comments:
Post a Comment