Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia
hali Waziri wa nchi Afisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma wa Serikali
ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) Bwana Haroun Ali Suleiman aliyelazwa
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment