Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kushoto) akikagua ujenzi wa
bandari ya Karema, wilaya ya Mpanda ambao umekwama kwa miaka mitatu sasa
kutokana na mkandarasi kudaiwa kutokuwa na sifa na uwezo wa kukamilisha
ujenzi huo. Kinana ametembelea ujenzi huo leo akiwa katika ziara ya
siku nne mkoani Katavi kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza
kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua.
Kinana na Nape (kulia) wakitoka kukagua ujenzi wa bandari hiyo leo
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na waandishi baada ya
kukagua ujenzi wa bandari hiyo ambapo ameahidi kuiagiza serikali
kuhakikisha ujenzi huo ambao umekwama unakamilika
Vijana wakitumbuiza kwa matarumbeta kumlaki Kinana Ofisi ya CCM Kata ya Karema leo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa soko la samaki la Ikola wilayani Mpanda mkoani Katavi
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa soko la samaki la Ikola wilayani Mpanda mkoani Katavi
Kinana akikagua eneo la Mwaloni huo
Mjumbe wa NEC, Balozi Ali Karume akizungumza na wananchi kwenye mwalo wa Ikola
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana akizungumza na wananchi baada ya kukagua mradi wa
ujenzi wa Mwalo au soko la samaki la Ikola wilayani Mpanda
Wananchi
wa Ikola wakimshangilia Kinana katika mkutano aliofanya baada ya
kukagua ujenzi wa mwalo wa Ikola wilaya ya Mpanda mkoani katavi
Mkazi
wa Ikola akiwa na samaki aina ya kambale wakati akitafuta wateja katika
eneo hilo la ikola wakati Kinana alipokuwa akikagua ujenzi wa soko la
samaki au mwalo katika eneo hilo leo
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao kilichofanyika
kwenye shina namba mbili, tawi la Ikola Store. Wapili kulia ni Mjumbe wa
Mwenyekiti wa shina hilo, Kawawa Mustafa. Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog
No comments:
Post a Comment