Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mbumge wa Karatu
mchungaji Israeli Nase(Watatu kushoto),Waziri wa Maji Profesa Jumanne
Maghembe(Wapili kushoto),Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo(kushoto) na
Mkurugenzi wa Utumishi na utawala wa TRA aliyemwakilisha Kamishna mkuua wa TRA
Bwana Abubakari Kunenge(wapili kulia) na kulia ni mwakilishi wa ofisi ya TRA
Mkoa.Bi.Caroline Ntinku.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunu kitambaa
katika jiwe la msingi kuashiria kufungua rasmi ofisi ya Mamlaka ya mapato
Wilaya ya Karatu mjini Karatu.(Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment