Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Balozi wa Korea nchini
Mhe Chung IL wakiwa mbele ya mchoro wa mfano wa Hospitali ya Chuo
Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila
maeneo ya Kwembe, Kilometa 25 kutoka jijini Dar es salaam, baada ya
kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo itakayokuwa kubwa
kuliko zote nchini.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifurahi na msanii Mrisho Mpoto baada ya
kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya
Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini
Mloganzila maeneo ya Kwembe, Kilometa 25 kutoka jijini Dar es salaam,
baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo itakayokuwa
kubwa kuliko zote nchini.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chung IL
wakikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa
Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi
Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila maeneo ya Kwembe, Kilometa
24 kutoka jijini Dar es salaam, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi
wa hospitali hiyo itakayokuwa kubwa kuliko zote nchini.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chungh IL
wakiweka udongo kwa pamoja wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi
wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi
Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila Kilometa 25 kutoka jijini
Dar es salaam.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chung IL
na viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi
la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na
Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila maeneo ya Kwembe
Kilometa 25 kutoka jijini Dar es salaam.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea katika
sherehe za kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya
kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili
kijijini Mloganzila mkoa wa Pwani.(PICHA NA IKULU).
No comments:
Post a Comment