Mbunge
wa Singida Mashariki Lazaro Nyalandu akimlaki Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana wakati wa mapokezi ya kiongozi huyo wa Chama, katika
kata ya Msisi, Singida Vijijini.
Wanachama
wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi wakimvalisha mgolole Kianana kabla ya
kufungua tawi la Wazazi la Kata hiyo.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua tawi la Jumuia ya Wazazi
LKata ya Msisi, wilaya ya Singiga Vijijini.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki kuvuna mtama katika shamba la
mfano la zao hilo katika kata ya Mtinko, Singida Vijijini. Aliyevaa suti ni Waziri wa maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida
Mashariki, Lazaro Nyalandu.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwasha mashine ya kupukuchua
mtama, wakati yeye na Kinana waliposhiriki uvunaji na upuchuaji mtama
kwenye shamba darasa la zao hilo katika kata ya Mtinko, Singida
Vijijini.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akishiriki kupukuchua mtama kwenye mashine maalum, katika Kata hiyo.
5Kinana na Nyalandu wakiweka dirisha kwenye jengo la mradi wa ushirika wa kusindika mafuta ya alizeti kata ya Mtinko
Kinana akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Msisi katika mapokezi yake kuingia Singida Vijijini
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alimpatia chanjo ya matone, mtoto Erick
Gabriel mwenye umri wa miezi miwili, aliyepatakwa na mama yake, Maria
Jacob, Kiongozi huyo mkuu wa CCM, alipokagua huduma za zahanati ya
Mkenge, Singida Vijijini.
Wananchi
wakiwa nje ya Zahanati ya Mkange, Singida Vijijini, wakati Katibu Mkuu
wa CCM, Kinana alipokagua zahanati hiyo mpya.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiondoka na msafara wake baada ya
kukagua jengo la bweni la wanafunzi Maghojoa, Singida Vijijini.
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana akiwa na Nyalandu wakati alipozungumza na wananchi
baada ya kukagua ujenzi wa Ukumbi wa Ofisi ya CCM, Kata ya Maghojoa,
Singida Vijijini.
Nyalandu akisalimiana na wananchi wakati alipowasili na Kinana katika kata ya Mtinko, Singida Vijijini.
Kinana akihutubia wananchi Kata ya Mtinko, Singida Vijijini.(Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog)
No comments:
Post a Comment