KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, June 8, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA JUMAMOSI MANZESE MASHABIKI WASHANGILIA MWANZO MWISHO.

Bondia Hassana Mlutu akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Iddi Mustafa wakati wa mpamnano wao Mlutu alishinda kwa point mpambano huo.
WACHEZAJI WA NGUMI WA KAMBI YA SINZA MAKABURINI WAKIMPIGA TAFU MWENZAO MORO BEST KUSHOTO NI SHEDRACK IGNAS NA WA PILI KUSHOTO BONDIA MUSTAFA DOTO
Bondia Sako Mwaisege kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hussein Gobiso wakati wa mchezo wao uliomalizika kwa droo ya kufungana kwa point 
Bondia Hassani Mandula kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Karim Migea wakati wa mpambano wao Mandula alishinda kwa k,o ya raundi ya pili.
Bondia Deo Samweli kushoto akipambana na Mann Issa wakati wa mpambano wao Samweeli alishinda kwa point.
Msanii wa muziki wa hipop Karama Masoud 'Kala Pina'  akitumbuiza katika onesho lake lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita lililoandaliwa na kikosi cha mizinga.

No comments: