Jengo la Chuo cha Ulinzi wa Amani.
Kabla ya kukabidhiwa.
Balozi wa Canada nchini,Alxandre Leveque,akizungumza.
Picha ya pamoja ya Viongozi wakuu wa JWTZ,Serikali na Viongozi wa Serikali ya Canada.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk,Hussein Mwinyi,(wapili kushoto) Waziri wa Ushirikiano wa Biashara wa Canada,Ed Fast wapili kulia) Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Generali Davis Mwamunyange(kushoto) na Balozi wa Canada nchini,Alexandre Leveque. 
Bango linaloonesha mambo muhimu katika Jengo lililokabidhiwa Serikali ya Tanzania na Canada.
Kikosi cha Bendi ya Jeshi lilitoa burudani.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Generali Davis Mwamunyange wapili kulia) akisalimiana na waziri wa Ushirikiano wa Biashara wa Canada,Ed Fast(wa pili kushoto).
Wakuu wa vikosi mbalimbali vya Jeshi (mbele) na maofisa.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk,Hussein Mwinyi(kushoto) na waziri wa Ushirikiano wa Biashara wa Canada,Ed Fast.wakifunua kitambaa chenye kuonesha maana ya Jengo hili.
Maofisa wa serikali ya Canada.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange,akizungumza.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk,Hussein Mwinyi(kulia) akipokea mfano wa ufunguo kutoka kwa waziri wa Ushirikiano wa Biashara wa Canada Ed Fast.
Waziri Husseini Mwinyi akizungumza.
Waziri wa Ed Fast ,akizungumza.
Picha ya pamoja ya Wakuu wa Jeshi,Serikali na viongozi wa Canada.
No comments:
Post a Comment