Balozi wa Norway Mhe.Ingunn Klepsvik amuaga Rais Kikwete Ikulu.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na kuagana na Balozi wa
Norway nchini anayemaliza muda wake Mhe.Ingunn Klepsvik wakati balozi
huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam.(Picha na
Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment