KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, July 4, 2014

NSSF YATEMBELEWA NA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA,YAAMIA KWA WACHIMBAJI MADINI WADOGO KUWANAO.

 Mkurugenzi Uendeshaji,Crescentius Magori akionesha namba walizopewa za kiwango cha kimataifa.
 Maofisa wa NSSF wakiwajibika katika Banda lao kwenye maonyesho.
  Mkurugenzi Uendeshaji,Crescentius Magori,(katikati) akizungumza na waandishi wa vyomba mbalimbali vya habari.
 Mfanyakazi,Norah Mwidunda (kulia) wa Idara ya Matangazo NSSF akiwapima watoto wanafunzi kwa kuwauliza tebo ili awapatie madaftari kwa ajili ya shule.
  Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Midradi Mhandisi John Msemo (katikati) sambamba na Mkurugenzi Uendeshaji,Crescentius Magori,Waziri wa Viwanda na Biashara Dk,Abdallah Kigoda (kulia)
 Waziri Pinda akiwa ndani ya Banda la NSSF.
 Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano NSSF,Eunice Chiume akizungumza na waandishi kuhusu Mafao ya Watanzania wanaoishi nje ya nchi kwa malipo ya Dola 300 tu mwaka kusafirisha mwili wa marehemu kuzikwa Tanzania (Repatriation Benefit).Mafao ya matibabu bure kwa ndugu 4 wa mwanachama wanaoishi Tanzania(Heaith Insurance Benefit).
 Maofisa wa NSSF wakiwajibika kwa mitandao kwa wateja.
  Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano NSSF,Eunice Chiume akizungumza na waandishi.
 Mfanyakazi,Norah Mwidunda (kulia) wa Idara ya Matangazo NSSF akiwapima wanafunzi wa shule ya Oasis English Medium kwa kuwauliza tebo ili awapatie madaftari kwa ajili ya shule.
 Ofisa wa NSSF Bi.  Muheta akiwa kazini Sabasaba.

No comments: