KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Wednesday, July 16, 2014

RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU IKULU, DAR ES SALAAM.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na  viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu  katika furari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru  viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu  kwa kuhudhuria katika furari aliyowaandalia Ikulu.
  Sehemu ya waliohudhuria katika  futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu.
 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum (aliyesimama kushoto), akitoa neno la Shukurani baada ya  futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu.
Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu.

No comments: