KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, August 7, 2014

Kigogo,Mbunge na Kiongozi wa Nyumba ya Ibada Anadaiwa Kuzurumu Kiwanja na Kujenga nyumba nne(4), zavunjwa kwa Amri ya Katibu Mkuu Wizara ya Aridhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,nyumba hizo zipo Mtaa wa Palm Mbezi Beach Dar es Salaam.

 Aliyezurumiwa Kiwanja, Janet Lolita Mwaikambo Kiwia.
 Askari Polisi wakisimamia zoezi la uvunjaji nyumba hizo.
 Tingatinga lenye namba za usajili CW 5715 likitumika kuangamiza nyumba nne.
 Kazi ya kuangamiza nyumba inaendelea kwa kasi.
 Kama kawaida ya Tingatinga.
 hakuna kuacha kitu.
 kama unavyoona.
 Karibu na kumaliza.
 Kazi yapamba moto.
 Haya hii ni kazi ya Tingatinga.
 Anza ya kuvunja.
 Paa likiteketea.
 Paa chini badala ya juu.

No comments: