Moto ukiteketeza Masjid Mtambani na Mivumoni Islamic Seminary.
Masjid Mtambani sehemu ya juu iliyoungua moto na kubaki chini inayoendelea na Ibada kama kawaida.
Sehemu ya juu yenye shule ya Mivumoni Islamic Seminary iliyoungua moto vibaya.
Sehemu ya ndani iliyoungua.
Sehemu ya ndani madarasa iliyoungua.
Ndani ya madarasa yaliyoungua na kuteketeza kila kitu.
Wanafunzi na waumini wakiondoa mabati yaliyoungua
Wakikusanya mabati.
Moto ulivyoteketeza madarasa.
Mabati yaliyoungua yakiwa yamekusanywa.
Kijana akikusanya mabati katika moja ya ofisi zilizoungua.
No comments:
Post a Comment