Mama Salma Kikwete akiweha saini
katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa
pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume
ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki jijini Dar es
salaam aliyefariki katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es
Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini
katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa
pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume
ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki jijini Dar es
salaam aliyefariki katika Hospitali ya AMI Trauma Centre.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama
Salma Kikwete wakiwafariji wafiwa walipokwenda kutoa
pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume
ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki jijini Dar es
salaam aliyefariki katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiongea na watoto wa marehemu pamoja na Jaji Mstaafu Mark
Bomani alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume
ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki jijini Dar es
salaam aliyefariki katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es
Salaam.(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment