KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, September 28, 2014

BENKI YA STANDARD CHARTERED KITENGO CHA TEKNOLOJIA NA OPARESHENI WAPANDA MICHE YA MITI 400 SHULE YA MSINGI KIBAGA KINYEREZI MANISPAA YA ILAILA DAR ES SALAAM.

 Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya Standard Chartered,Richard Marisa na wanafufunzi wakiweka mbolea kabla ya kupanda moja ya miche ya miti.
 Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia na Oparesheni Benki ya Standard Chartered,Alelio Lowassa (kushoto chini) na wafanyakazi wengine wakifukia baada ya kupanda mti. 
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya Standard Chartered wakifuatilia jambo kabla ya kupanda miche ya miti.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya Standard Chartered wakifuatilia jambo kabla ya kupanda miche ya miti.
 Wanafunzi wa shule ya Msingi Kibaga wakifurahia jambo.
 Wafanyakazi wa Benki ya Standard Chartered na wanafunzi wakiwa na miche ya miti tayari kwa kupanda.
 Mfanyakazi wa Benki ya Standard Chartered akichimba shimo la kupanda mche wa mti na wanafunzi wakiwa na miche ya miti tayari kwa kupanda.
 Wanafunzi wakiwa na miche ya miti wakijiandaa kupanda.
  Wanafunzi wakiwa na miche ya miti wakijiandaa kupanda.
 Wafanyakazi wa Benki ya Standard Chartered,viongozi wa shule na wanafunzi wakiwa na miche ya miti wakijiandaa kupanda.

No comments: