Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi
katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja Soko la
Maneromango, wilayani Kisaarawe mkoa wa Pwani.
Mamia ya wananchi wakiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo
Maneromango Kisarawe mkoa wa Pwani.Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara
uliofanyika kwenye Uwanja Soko la Maneromango, wilayani Kisaarawe
mkoa wa Pwani.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mamia ya
wananchi katika mkutano wa hadhara wa Kinana,uliofanyika leo, kwenye
Uwanja Soko la Maneromango, wilayani Kisaarawe mkoa wa Pwani.
No comments:
Post a Comment