Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa
kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi
wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika
(AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi
linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla
Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu na Mkuu wa Majeshi
Jenerali Davis Mwamunyange wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano katika
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi katika
mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU)
kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na
dunia kwa ujumla.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri Kaguta Museveni wakiteta jambo
katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi
katika mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika
(AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tishio la ugaidi
linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla.
Nyimbo za AU na Kenya zikipigwa kabla ya mkutano wa kuzungumzia
masuala ya tishio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa
ujumla katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini
Nairobi.(PICHA NA IKULU).
No comments:
Post a Comment