KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Tuesday, September 30, 2014

Rais Kikwete kufungua Barabara ya Mwenge-Tegeta kesho.



JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA UJENZI 



                                                                                                          



YAH: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

RAIS KIKWETE KUFUNGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA KESHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za ufunguzi wa barabara ya Mwenge- Tegeta utakaofanyika tarehe 1 Oktoba 2014.

Ufunguzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta wenye urefu wa Kilomita 12.9, utafanyika kuanzia saa nne asubuhi katika eneo la Lugalo njia panda ya Kawe.

Upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam.

Taarifa hii imetolewa na;

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini(GCU)
Wizara ya Ujenzi


No comments: