KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, October 30, 2014

KAMPUNI YA AZANIA YADHAMINI MAONESHO YA WIKI YA CHAKULA SALAMA.

Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo Chakula na UshirikaKarim Mtambo,(kushoto) wakati wa kufunga maonyesho ya Wiki ya Chakula Salama yaliyomalizika hivi karibuni katika Viwanja vya Mwembe Yanga Jijini Dar es Salaama.
 Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo Chakula na UshirikaKarim Mtambo, (wa pili kushoto) akisalimiana na Meneja Mauzo wa Kampuni ya Azania Nife Abubakar Al-Shatry. 
 Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo Chakula na UshirikaKarim Mtambo akiwa katika banda la Azania na kuzungumza na Meneja Mauzo wa Kampuni ya Azania Nife Abubakar Al-Shatry.
Akioneshwa jinsi ya kuhifadhi chakula salama na Meneja Mauzo wa Kampuni ya Azania Nife Abubakar Al-Shatry.
 Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo Chakula na UshirikaKarim Mtambo akiwa katika banda la Azania.
 Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo Chakula na UshirikaKarim Mtambo akiwa katika banda huku akifurahiwa na Meneja Mauzo wa Kampuni ya Azania Nife Abubakar Al-Shatry.
 Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo Chakula na UshirikaKarim Mtambo akiwa katika banda la Azania.
 Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo Chakula na UshirikaKarim Mtambo akiwa katika banda la Azania.
Mdhibiti wa ubora wa bidhaa wa Azam Group,Elizabeth ngunjiri akiwapatia juisi watoto waliotembelea banda la hilo wakati wa maonyesho ya Wiki ya chakula Salama.
Mdhibiti wa ubora wa bidhaa wa Azam Group,Elizabeth ngunjiri akiwapatia juisi watoto waliotembelea banda la hilo wakati wa maonyesho ya Wiki ya chakula Salama.
 Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo Chakula na UshirikaKarim Mtambo ,akiangalia boks la juice.
 Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo Chakula na UshirikaKarim Mtambo akiwa katika banda la Azam Group.

 Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo Chakula na UshirikaKarim Mtambo akiwa katika banda la viungo vya chakula.
 Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo Chakula na UshirikaKarim Mtambo akiwa katika bandalinalouza unga safi na salama wa muhogo.
 Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo Chakula na UshirikaKarim Mtambo akiwa katika banda la bidhaa za NYATI.
Akimkabidhi cheti Ofisa wa Kampuni ya Azania.
akimkabidhi cheti Ofisa wa Azam Group.
akimkabidhi cheti Ofisa wa Kampuni ya NYATI.

No comments: