KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, October 23, 2014

Rais azungumza na Balozi wa Marekani.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania  Mark Bradley alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania  Mark Bradley baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania  Mark Bradley baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na  Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments: