JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
KURUGENZI YA
HABARI NA UHUSIANO
Simu ya Upepo : “N
G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,
Simu ya Mdomo :
DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,
Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 20Octoba, 2014
Tele Fax : 2153426
Baruapepe : ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Tovuti : www.tpdf.mil.tz
Taarifa kwa Vyombo
vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa
taarifa kwa wananchi wote kuwa ni kosa kisheria kumiliki au kuvaa sare za JWTZ
kwa mtu yeyote asiyehusika.
Aidha, kumeonekana matukio kadhaa ya baadhi ya vikundi,
ama mtu mmoja mmoja kumiliki au kuvaa sare za JWTZ. Inakumbushwa kuwa kwa yeyote atakayeonekana amevaa
ama kumiliki sare hizo sheria itachukua mkondo wake.
ImetolewanaKurugenziyaHabarina Mahusiano
MakaoMakuuyaJeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
KwaMawasiliano zaidi: 0783 -
309963
No comments:
Post a Comment