KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, November 6, 2014

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Samwel William
Shellukindo kuwa Balozi na Msaidi wa Rais Masuala ya Diplomasia leo
Ikulu jijini Dar es salaam.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John Vianney Mongella
kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi leo Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Halima Omary Denengo
kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara leo Ikulu jijini Dar es salaam.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi Dkt
Yohana Budeba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
ikulu jijini Dar es salaam.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Dkt Ibrahim Hamisi Msangi
kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi leo Ikulu jijini Dar es salaam.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue wakiwa katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu na Makatibu
Tawala wa Mikoa wapya baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania Nchini
Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka , pamoja na mabalozi wengine kutoka
kushoto Balozi Mbelwa Kairuki (Mkurugenzi wa Idara ya Asia na
Austrlia). Balozi Simba yahya (Mkurugenzi Idara ya Mashariki ya Kati na
Balozi Celestine Mushi, Mkurugenzi wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa.

No comments: