Ukaguzi katika geti la Mahakama Kuu Tanzania kabla ya kuingia ndani.
Msululu wa kujiandikisha kabla ya kuingia ndani ya Mahakama.
Baadhi ya wafuasi wa Sheikh Ponda wakitoka nje ya Mahakam baada ya ukumu.
Wafuasi wakishangilia baada ya Ponda kuondoka.
Wafuasi wakishangilia.
Polisi wa kuzuia fujo walivyotanda Mahakama Kuu.
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam
Tanzania, Sheikh Issa Ponda akitoka nje ya Mahakama Kuu chini ya Ulinzi mkali.
Wafuasi wakifukuza basi la Magereza alilopanda Ponda.
Polisi wa kutuiza fujo kama kawaida.
Wafuasi wakifukuza basi la Magereza alilopanda Ponda.
Kwa Ufupi
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam
Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameshinda kesi ya jinai ya kuingilia eneo la ardhi
Chang'ombe la Agritanza Ltd, amerudishwa Mahabusu Segerea kwa kuwa ana kesi nyingine
inayomkabili.
Hukumu ya kesi hiyo imetolewa katika
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya Jaji Augustine Shangwa huku Sheikh
Ponda akitetewa na Wakili wake Juma Nassoro.
Sheikh Ponda bado anakabiliwa na kesi ya
uchochezi ya mkoani Morogoro hivyo alirudishwa Segerea mbali na kushinda kesi.
No comments:
Post a Comment