KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, December 5, 2014

MANJU MSITA KUPEPERUSHA BENDERA MOZAMBIQUE FASHION WEEK 'MFW-2014.

Mbunifu wa Mavazi nchini Manju Msita kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya ushiriki wake katika Mozambique Fashion Week yatakayoanza desemba 10 mpaka 14 ambapo atakuwa akipeperusha bendera ya taifa
Mwanamitindo Matukio Chuma kulia akizungumza na wahandishi wa habari wakati wa kutangaza  upeperushwaji wa bendera ya tanzania katika nchi ya mozambique fashion week ambayo mbunifu wa mavazi Manju Msita atashiriki na kupeperurusha bendera ya Tanzania kushoto ni mwanamitindo Vivian Williams ambaye anafanya shughuli zake za uwanamitindo nchini Barcelona .Spain
Mwanamitindo anaefanya shughuli zake nchini Barcelona Spein Vivian Williams kushoto akizungumza na waandishi wa habari juu ya ujio wake nchini kwa ajili ya kushiriki maonesho ya SwaHILI fASHION WEEK yatakayoanza ijumaa ya Desemba 5 mpaka 7 kulia ni Mwanamitindo Matukio Chuma

Mbunifu wa Mavazi nchini Manju Msita katikati akiwa na wanamitindo
anaefanya shughuli zake nchini Barcelona Spein Vivian Williams na Ieva Stropule anaeishi ujerumani

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi nchini Rajabu Mhamila kushoto  akiangalia zawadi  aliyopewa na mwanamitindo Matukio Chuma iliyotoka kwa Manju Msita
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi nchini Rajabu Mhamila kushoto  akipokea zawadi kutoka kwa mwanamitindo Matukio Chuma iliyotoka kwa Manju Msita
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi nchini Rajabu Mhamila kushoto  akipokea zawadi kutoka kwa mwanamitindo Matukio Chuma iliyotoka kwa Manju Msita

No comments: