Mhazini Mkuu,Alex Elifuraha (Chuo Kikuu Cha Muhimbili na Rais) akiapa kutumikia nafasi yake mbele ya Mwanasheria Ipyana Jengela (kulia)
Mhazini Mkuu,Alex Elifuraha,akiweka saini katika nyaraka ya kiapo.
Katibu Msaidizi,Salim Hassan Salim (Sumait University Zanzibar) akiapa kutumikia nafasi yake mbele ya Mwanasheria Ipyana Jengela (kulia).
Katibu Msaidizi,Salim Hassan Salim akiweka saini katika nyaraka ya kiapo.
Katibu Mkuu Mtendaji, Kevani Kihongosi, (University Of Iringa) akiapa kutumikia nafasi yake mbele ya Mwanasheria Ipyana Jengela (kulia).
Katibu Mkuu Mtendaji,Kevani Kihongosi, akiweka saini katika nyaraka ya kiapo.Kushoto ni Mwenyekiti wa Senate TAHLISO,Eshe Ramadhan Mzee.
Makamu Mwenyekiti,Tabia Maulid Mwita (Zanzibar University) akiapa kutumikia nafasi yake mbele ya Mwanasheria Ipyana Jengela (kulia).
Makamu Mwenyekiti,Tabia Maulid Mwita, akiweka saini katika nyaraka ya kiapo.
Mwenyekiti, Francisco John,(Chuo Kikuu Cha Dodoma) akiapa kutumikia nafasi yake mbele ya Mwanasheria Ipyana Jengela (kulia).
Mwenyekiti, Francisco John,akiweka saini katika nyaraka ya kiapo.
Baadhi ya wanachuo wakifuatilia jambo.
Baadhi ya wanachuo wakifuatilia wakati wa kuapishwa viongozi wao.

Viongozi wa TAHLISO wakiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wezao baada ya kuapishwa.
No comments:
Post a Comment