Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma Bi. Chiku Gallawa jana wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa maafisa
wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaoendelea Mkoani Dodoma.
Baadhi
ya maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi wakiimba wimbo wa maadili ya
ofisa wa polisi jana kwenye ufunguzi wa mkutano wa wakuu hao unaoendelea.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhe.Mathias Chikawe (katikati) wakiongozana na Mkuu wa Jeshi la
Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Chiku
Galawa kuingia ukumbini kwenye hafla ya
ufunguzi wa Mkutano wa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi.(Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)
No comments:
Post a Comment