Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na Mfalme Letsie III wa
Lesotho(Kushoto), Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia (wapili kushoto) na
kulia ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete.Viongozi hao walihudhuria
sherehe za kuapishwa kwa Rais Mpya wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi
zilizofanyika jijini Maputo Msumbiji.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment