KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, February 20, 2015

CHAMA CHA ALBINO TANZANIA CHASHUTUMU MAUAJI YA KINYAMA WANAYOFANYIWA NCHINI.

Ofisa habari wa chama cha Albino Tanzania,Josephat Torner (wa pili kushoto) akizungumza na waandishi Jijini Dar es Salaam jana kuhusu  kupinga Ukatili na Mauaji ya watu wenye ualbino yaliyoshika kasi nchini. Kushoto ni Sophia Mhanndo, Mtunza hazina,Abdilah Omari (wa pili kulia) na Makamu Mwenyekiti Gabriel Aruya.

Baadhi ya Maalbino wakitoka katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo kutoa malalamiko yao kwa waandishi baada ya kuendelea kuuawa na watu wasio na uruma na wao.

No comments: