Rais Kikwete kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kuchapa kazi ndani
ya ndege yake akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea mjini Dodoma ambapo
aliongoza kikao cha baraza la Mawaziri.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment