Mchezaji wa Mtibwa,Ame Ally (23) akibanwa na wachezaji wa Yanga,Nadir Haroub (kushoto) Haruna Niyonzima (katikati) na Mbuyu Twite (kulia) huku muamuzi Israel Nkongo akiwafuatilia.
Mashabiki wakichinja.
Mabao 2 Yanga leo.
Wanachama,wapenzi na mashabiki wa Yanga wakishangilia kwa raha zao baada ya kuishikisha adabu Mtibwa.
David Luhende mchezaji wa Mtibwa (kushoto) akiwania mpira na Juma Abdul wa Yanga.
Mbuyu Twite wa Yanga akimzibiti mchezaji Jamal Mnyate wa Mtibwa.
Muamuzi Israel Nkongo akinywa maji pamoja na Nadir Haroub Canavaro huku mlindamlango wa Yanga Ally Mustafa akitibiwa.
Mchezaji wa Yanga Edward Charles Manyama akisaidiwa na madaktari kutoka nje baada ya kuumia.
No comments:
Post a Comment