KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, March 8, 2015

MAMA SALMA KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA KUTIMIZA MWAKA ZA VIKUNDI VYA WAMA HUKO KIBITI RUFIJI.

  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete akimkabidhi cheti cha Uvumilivu katika Mazingira Magumu ya kazi Bi Catherine Mfinanga, miongoni wa Maafisa Watendaji wa Mradi wa Mwanamke Mwezeshe katika Wilaya ya Rufiji katika sherehe zilizofanyika huko Kibiti
 Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na wana vikundi vya WAMA katka Mradi wa Mwanamke Mwezeshe katika Wilaya ya Rufiji wakati wa sherehe za kutimiza mwaka kwa vikundi hivyo zilizofanyika huko Kibiti
 Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na wana vikundi vya WAMA katka Mradi wa Mwanamke Mwezeshe katika Wilaya ya Rufiji wakati wa sherehe za kutimiza mwaka kwa vikundi hivyo zilizofanyika huko Kibiti.
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wana vikundi vya Mwanamke Mwezeshe na wananchi wa  Wilaya ya Rufiji wakati wa sherehe za kutimiza mwaka kwa vikundi hivyo zilizofanyika huko Kibiti.
 Wanachama wa Vikundi vya Mwanamke Mwezeshe wa Wilaya ya Rufiji wakiserebuka wakati wa sherehe za kutimiza mwaka kwa vikundi vyao zilizofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Zimbwini huko Kibiti wilayani Rufiji katika Mkoa wa Pwani.
 Baadhi ya akina mama wa Vikundi vya Mwanamke Mwezeshe wa Wilaya ya Rufiji wakiimba nyimbo za mafanikio ya vikundi vyao wakati wa sherehe za kutimiza mwaka huko Kibiti, wilayani Rufiji.
 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarist Ndikilo akimkaribisha Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye eneo la Shule ya Sekondari Zimbwini huko Kibiti, wilayani Rufiji, kuhudhuria sherehe za kutimiza mwaka za vikundi vya WAMA katika mradi wa Mwanamke Mwezeshe.
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na mmoja wa Maafisa watendaji wa Mradi wa Mwanamke Mwezeshe katika Wilaya ya Rufiji mara baada ya kuwasili huko Kibiti kuhudhuria sherehe za kutimiza mwaka za vikundi hivyo.
 Mamia ya wana vikundi vya WAMA katika Mradi wa Mwanamke Mwezeshe katika Wilaya ya Rufiji wanaonekana wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mama Salma Kikwete, Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA wakati wa sherehe za kutimiza mwaka kwa vikundi hivyo. Sherehe hizo zilifanyika huko Kibiti na kuhudhuriwa na wananchi na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Pwani.
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wana vikundi vya Mwanamke Mwezeshe na wananchi wa  Wilaya ya Rufiji wakati wa sherehe za kutimiza mwaka kwa vikundi hivyo zilizofanyika huko Kibiti.
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akimkabidhi cheti Afisa Mtendaji wa vikundi vya WAMA katika Mradi wa Mwanamke Mwezeshe Bibi Rehema Kipengele kwa kutambua uwezo wake mkubwa wa kuunda vikundi vingi zaidi hivyo kuvuka lengo alilopangiwa.

No comments: