Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Viongozi
wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika katika ukumbi wa mikutano
wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini mbalimbali
wakimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akiwahutubia
wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Viongozi wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es
Salaam.(Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment