Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh.Daniel Kidega
akimkaribisha Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete katika jengo la bunge mjini
Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa kuingia
katika jengo la Bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge
la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Wimbo wa Taifa.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake katika Bunge la Afrika Mashariki huko Bujumbura Burundi.
Rais Dk .Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais Dk .Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wabunge
wa Afrika Mashariki muda mfupi baada ya kuwahutubia mjini Bujumbura
Burundi.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment