Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John
Ndimbo akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi
marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake
yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma.
Rais Dk,.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete
wakiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu
Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika
kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa ,Mkoani Ruvuma.
Rais Dk, Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete
wakiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi
marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake
yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa ,Mkoani Ruvuma.(Picha na
Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment