Mtaalam wa magonjwa ya ngozi kutoka India, Dk. Ranindra Babu akitoa mada
kuhusu majongwa hayo ya ngozi yalivyo na tiba zake, wakati wa semina ya
madaktari iliyofanyika jana, kwenye hoteli ya Protea Cortyard jijini
Dar es Salaam. zaidi ya madaktari 45, kutoka hospitali na taasisi
mbalimbali za tiba ndani na nje ya Tanzania, walihudhuria semina hiyo.
Mkurugenzi wa tiba, katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Neema
Rusibamanyika, akifungua semina kuhusu majongwa ya ngozi, jana, kwenye
hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam. zaidi ya madaktari 45,
kutoka hospitali na taasisi mbalimbali za tiba ndani na nje ya Tanzania,
walihudhuria semina hiyo.
No comments:
Post a Comment