Dar-es-Salaam, TANZANIA; 08
Septemba 2015: flydubai (http://www.flydubai.com) leo imeanzisha
mauzo yake kwenye mfumo wake mzima ikiwaondolea wateja wake gharama ya 30% kwenye
kiwango cha Biashara na cha Uchumi nauli hadi Dubai na maeneo yaliyochaguliwa. Wateja
wanaopanga kusafiri kati ya 01 Octoba 2015 na 30 Juni 2016 na wanunue nafasi kabla
ya 20 Septemba watapokea ondoleo la gharama kwa 30%.
Logo:
http://www.photos.apo-opa.com/plog-content/images/apo/logos/flydubai.jpg
Photo 1:
http://www.photos.apo-opa.com/index.php?level=picture&id=2471 (flydubai
Boeing 737-800 NG)
Photo 2:
http://www.photos.apo-opa.com/index.php?level=picture&id=2472 (Dubai)
Download 'flydubai September
route map': http://www.apo-mail.org/150908.pdf
Likiwa na ndege 49 za kisasa Boeing
737-800 za kizazi kijacho, flydubai hufanya zaidi ya safari 1,600 kwa wiki kwa
zaidi ya maeneo 90 katika mataifa 45 likiunda mfumo unaosambaa GCC, Mashariki
ya Kati, Afrika, Caucasus, Asia ya kati, Ulaya na Bara Hindi.
Dubai ipo kwenye makutano ya
mashariki na magharibi na kwenye kiini cha kiwanda cha kiulimwengu cha
kuunganisha watu wa tamaduni na tabaka mbalimbali. Dubai pia
ni chemichemi ya tamaduni mbalimbali, umbo la jiji la siku zijazo linalokalia
jangwa la Arabia. Kuanzia majumba ya biashara na miteremko ya ndani kwa ndani
ya kutelezea kwa theluji hadi safari za jangwani na jumba lililorefu zaidi
duniani, Dubai ni mji wenye vivutio kwa familia nzima na wapendao kusafiri
kadhalika.
flydubai
imejitolea kuwapa wateja wake ujuzi bora wa usafiri kwa kuwapa chaguo pana zaidi.
Kiwango cha Biashara cha flydubai kina starehe hata zaidi na ujuzi wa kusafiri
wa kibinafsi huku Kiwango mashuhuri cha Uchumi kinaendelea kuwapa watu zaidi
nafasi ya kusafiri mahali kwingi zaidi mara kwa mara kwa gharama ya chini.
Jiandikishe
kupata nafasi yako kabla ya 20 Septemba na flydubai hadi unakotakakuwa kwa
gharama iliyochini kwa 30%. Nafasi za usafiri zinaweza kununuliwa kutoka kwenye
tovuti ya flydubai (flydubai.com), Kituo chake cha Wasiliano (022 2124005), Maduka
ya Usafiri ya flydubai au kupitia washirika wa usafiri. Tafadhali tembelea
flydubai.com kwa Sheria zote na Masharti.
flydubai hufanya safari 4 kwa wiki baina ya Tanzania (Dar
Es Salaam)/(Zanzibar) na Dubai.
Distributed by APO (African
Press Organization) on behalf of flydubai.
Media contact:
Houda Al Kaissi
Public Relations Specialist
t. +971 4 603 3073
m. +971 56 683 0336
Kuhusu flydubai:
Ikiwa na makao yake Dubai, flydubai
(http://www.flydubai.com) hung’ang’ana kuondoa vizuizi vya usafiri na
kuimarisha uunganishaji baina ya tamaduni tofauti tofauti kote kwenye mfumo
wake unaopanuka kila mara. Tangu ianzishe safari zake mnamo 2009, flydubai:
- Imeunda mfumo wa zaidi ya vituo 90, pamoja na njia mpya 19 zilizotangazwa mnamo 2015.
- Imefungua njia mpya 67 ambazo hapo awali hazikuwa na safari za moja kwa moja hadi Dubai au hazikuhudumiwa na kampuni ya ndege ya kitaifa ya UAE kutoka Dubai.
- Imejenga mfumo wa ndege mpya 49 na itapokea zaidi ya ndege 100 kufikia mwishoni mwa 2023, ambapo zote zitakuwa za aina ya Boeing 737-800.
Kwa ziada, mchangamko na wepesi wa flydubai
kama kampuni changa ya ndege umepanua maendeleo ya kiuchumi ya Dubai, kwa
kuambatana na maono ya Serikali ya Dubai, kwa kutengeneza biashara na mtiririko
wa utalii katika masoko yaliyokosa kuhudumiwa ipaswavyo hapo awali.
Kwa habari zaidi
kuhusu huduma za flydubai, tafadhali tembelea flydubai.com.
No comments:
Post a Comment