Kituo cha Michezo kwa vija na cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam kinavyoonekana kutoka angani.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa
kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks wakati akikagua maendeleo ya
ujenzi wa kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo
Chekundu jijini Dar es salaam. Kituo hicho
kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa
kampuni ya umeme ya Symbion,Paul Hicks wakati akikagua maendeleo ya
ujenzi wa kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo
Chekundu jijini Dar es salaam.Kituo hicho
kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa
kampuni ya umeme ya Symbion.Paul Hicks kwa mmoja wa wasimamizi wa
mradi huo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha
kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya
Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa
kampuni ya umeme ya Symbion. Paul Hicks kwa mmoja wa wasimamizi wa
mradi huo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa
kituo cha
kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya
Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa
kampuni ya umeme ya Symbion.Paul Hicks kwa kocha wa vijana wa
kandanda mwenye kutambulika na FIFA kutoka Uingereza wa mradi
huo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha Michezo
kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam.Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion.(PICHA NA MICHUZI)
No comments:
Post a Comment