KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, September 8, 2016

Rais Dk Magufuli aongoza mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya ya Afrika mashariki Ikulu, Dar es salaam.

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya Bw. Liberat Mfumukeko muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Sudan ya Kusini 
muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na wa Burundi Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi . Alain Nyamitwe muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam

 Rais Mstaafu  Benjamin Mkapa akibadilishana mawili matatu na Rais Paul Kagame wa Rwanda muda mfupi kabla kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016.  Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein. 
Rais Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na Naibu Rais wa Kenya  William Rutto akiwasili kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam.

No comments: