Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongea mara baada ya kumalizika kwa Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kabla ya kuanza kwa Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza Baraza la Mawaziri.
Rais John Magufuli akiongoza Baraza la Mawaziri.(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment