Polisi kanzu akimdhibiti kwa bastola, alipomkamata kijana aliyekimbia na pinngu baada ya kufika katika Mahakama ya Ilala, Kariakoo jijini Dar es Salaam, akitokea mahabusu. jina la kijana huyo na kesi inayomkabili havikuweza kupatikana mara moja. Kijana huyo alikamatwa hatua chache katika mtaa wa Lumumba.
Polisi kanzu akimdhibiti kwa bastola, alipomkamata kijana aliyekimbia na pinngu baada ya kufika katika Mahakama ya Ilala, Kariakoo jijini Dar es Salaam, akitokea mahabusu. jina la kijana huyo na kesi inayomkabili havikuweza kupatikana mara moja. Kijana huyo alikamatwa hatua chache katika mtaa wa Lumumba
Abiria waliokuwa katika daladala wakishangaa tukio hilo
Polisi akimdhibiti kijana huyo wakati akirejeshwa mahakamani baada ya kukamatwa akijaribu kukimbia na pingu
Polisi akimdhibiti kijana huyo wakati akirejeshwa mahakamani baada ya kukamatwa akijaribu kukimbia na pingu
Polisi akimdhibiti kijana huyo wakati akirejeshwa mahakamani baada ya kukamatwa akijaribu kukimbia na pingu. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-theNkoromo Blog
No comments:
Post a Comment