Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bahame Tom Nyanduga (kulia) aliyetembelea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dar es salaam. Katikati ni Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Asina Omari.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bahame Tom Nyanduga (wa pili kutoka kulia) aliyetembelea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dar es salaam. Wengine ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria wa NEC, Emmanuel Kawishe , Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi - NEC, Asina Omari (wa pili kutoka kushoto) na Afisa Uchunguzi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Nancy Ngula (wa tatu kutoka kulia).
Mwenyekiti wa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kushoto)
akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu
na Utawala Bora, Bahame Tom Nyanduga (wa pili kutoka kulia) aliyetembelea
Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bahame Tom Nyanduga (katikati) akimweleza jambo jambo Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (hayupo pichani) mara baada kutembelea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa NEC, Emmanuel Kawishe na Kushoto, Nancy Ngula, Afisa Uchunguzi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jaji Mstaafu Damian Lubuva ( kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bahame Tom Nyanduga (aliyekaa kulia). Waliosimama mstari wa nyuma ni Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, Asina Omari (kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Kisheria wa NEC, Emmanuel Kawishe na Maafisa kutoka NEC na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Picha / Aron Msigwa - NEC.
No comments:
Post a Comment