Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akikabirishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo na Katibu mkuu huyo wa CCM,
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwenda eneo la kufanyika mazungumzo.
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungmza na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO- theNkoromo Blog
No comments:
Post a Comment