Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (Tantrade) Edwin Rutageuka,(kushoto) akizungumza na waandishi waliofika katika maonesho hayo.
Mfanyakazi wa Banda la Mansoor Daya Chemical Ltd akiwa na mwananchi aliyetembelea Banda hilo.
Wataalamu wa Rangi Bora nchini wakionesha wananchi waliotembelea Banda hilo.
Wafanyakazi wa Global Education wakiwa katika Banda lao.
Mkuu wa Asali ya Pinda akizungumza na wananchi waliofika katika Banda hilo.
Asali ya Pinda ikwa katika Banda.
Wafanyakazi wa SEASALT Ldt wakiandaa kwa kupanga bidhaa wanayozalisha.
Meneja Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya SEASALT Ltd,Deo Ndunguru,akionesha chumvi wanayozalisha.
Mfanyakazi wa Banda la PSPF akimsikiliza mwananchi aliyetembelea Banda hilo.
Wafanyakazi Banda la ASAS GROUP OF Companies wakipanga bidhaa wanazozalisha.
Wananchi wakiwa katika Banda la VETA.
Wafanyakazi wa Banda la Property International Ltd wakiwa kazini.
No comments:
Post a Comment