KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, December 11, 2016

Waziri Nape Nnauye akagua marekebisho ya miundombinu iliyoharibiwa Uwanja wa Taifa.



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye akiangalia namna Kamera za CCTV zinavyofanya kazi ya kubaini matukio yanayoendelea ndani ya Uwanja wa Taifa wakati alipotembelea kukagua marekebisho ya miundombinu ya uwanja huo  11 Desemba, 2016 Jijini Dar es Salaam.

Kaimu Meneja wa Uwanja wa Taifa,Julius Mgaya (kushoto) akimuonyesha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,Nape Moses Nnauye jinsi Kamera za CCTV zinavyoweza kumnasa mtu akifanya jambo lolote baya ndani ya Uwanja wa Taifa wakati alipotembelea kukagua marekebisho ya miundombinu ya uwanja huo 11 Desemba, 2016 Jijini Dar es Salaam.

No comments: